CHAKULA NI TIBA

Utangulizi

Habari, natumai umzima wa afya na unaendelea vyema na shughuli za kila siku. Nipende kukukaribisha katika blog hii  ambayo itakukumbusha na,kukujuza juu ya faida zinazopatikana katika vyakula vyetu vya kila siku. Kupitia blog hii utaweza kijifunza mtindo mzuri wa maisha hususa ni katika suala zima la mlo wako wa kila siku. Kwani kula mlo sahihi ni moja ya tiba na kinga dhidi ya maradhi na matatizo mbalimbali ya kiafya ambayo yamekuwa changamoto kwa kiwango kikubwa katika jamii yetu. Ndio sababu iliyopelekea blog hii kuitwa CHAKULA NI TIBA.
"Turejee Edeni maana matunda na mboga(chakula) ni dawa." Asema Dr. Jethro.

Nikuombe uwe nami katika blog hii na uwajuze wengine ili kuweza kunufaika na yote yatakayojiri ndani ya blog hii.

Comments

Popular posts from this blog

VYAKULA VYA WANGA (CARBOHYDRATES)

MBOGA /VEGETABLES

PROTINI (PROTEIN)